Ingia hapa kutazama matokeo Kidato cha nne 2017

130

BARAZA la Mitihani la Taifa (NECTA), latangaza matokeo ya kidato cha nne mwaka 2017, ambapo ufaulu umepanda kwa asilimia 7.22 huku watahiniwa 265 wakifutiwa matokeo kwa udanganyifu.

Bofya link zifuatazo kutazama matokeo hayo…

Matokeo kidato cha nne CSEE 2017

Matokeo ya Mtihani wa Maarifa (QTs)