Huu ndio ugonjwa wa Kisukari na aina zake

Kisukari ni ugonjwa wa kongosho, wakati uzarishaji wa Insulini au utolewaji wake haufanyi kazi vizuri, na ikiwa hali hii haitadhibitiwa, inaweza kusababisha matatizo makubwa...

RC Makonda azindua Hospitali ya Mama na Mtoto

Rais wa Shirika la Misaada la Korea Kusini, Koica, Bi.Lee Mi Kyung amezindua hospitali ya Mama na Mtoto eneo la Chanika iliyojengwa kwa jitiada...

Yajue Maumivu Chini ya Kitovu na chanzo chake

Maumivu chini ya kitovu (Lower abdominal Pain) ni tatizo ambalo huwakumba watu wengi lakini kwa bahati mbaya wengi hulichukulia kuwa ni jambo la kawaida...

Mh. Samiah azindua Chanjo ya Kukinga Saratani ya Mlango wa Kizazi

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe Samia Suluhu Hassan leo amezindua chanjo ya kukinga saratani ya mlango wa kizazi ...

Nogesha mlo wako wa Sikukuu ya Pasaka kwa Nanasi

Katika kusherehekea sikukuu ya Pasaka, fanya mlo wako uwe wa kipekee kwa kula matunda hasa NANASI. Tunda hili unaweza kutengeneza Juice au ukala bila...

Fahamu tatizo la Chango la Uzazi na matibabu yake

Chango la uzazi ni miongoni mwa magonjwa yanayoshambulia viungo vya uzazi vya mwanamke ambapo humsababishia maumivu makali ya tumbo na kushindwa kupata ujauzito, au...

Waziri Ummy awatahadharisha wananchi na ugonjwa wa Dengue

Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Mheshimiwa Ummy Mwalimu amewashauri wananchi endapo wakihisi kuwa na dalili za ugonjwa wa dengue...

Madaktari wasimamishwa kazi nchini Kenya

Madaktari Hospitali ya Kenyatta wamesimamishwa kazi kwa kufanya upasuaji wa kichwa kwa mgonjwa asiyestahili. Taarifa kutoka kwa mkurugenzi mkuu wa hospitali hiyo, Lily Tare, zinabainisha...

Tatizo la Chunusi na namna ya kulitibu

Chunusi ni ugonjwa wa ngozi ambao hujitokeza kama uvimbe au vipele vidogo vidogo hasa sehemu za uso, kifuani na hata mgongoni. ambavyo hujitokeza katika...

Apasuka koo kwa chafya

Madaktari wameonya kwamba kuzuia kupiga chafya kwa kufunga pua na mdomo kunaweza kukusababishia madhara makubwa. Hii imejiri baada ya madaktari mjini Leicester kumtibu mtu...
- Tangazo -

Habari Mpya

Shirika la Afya Dunia kufanya majaribio ya chanjo ya Ebola

Shirika la Afya Duniani (WHO) na serikali ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo leo wamekuja na mbinu mpya ya kutoa chanjo ya majaribio dhidi...

New Hit: Chege ft Maka Voice – Damu ya Ujana

Mwanamuziki wa kundi la TMK Chege ameibuka na video track yake mpya ijulikanayo kwa jina la "Damu ya Ujana". Enjoy!!!!!!!

New Audio: Christina Shusho – Relax

Msanii wa nyimbo za Injili nchini Christina Shusho ameibuka na ngoma yake mpya iitwayo "Relax". Sikiliza na pakua hapa chini!!!!!!!!!!!