New Hit: Mrisho Mpoto ft Harmonize – Nimwage Radhi

Msanii wa nyimbo za asili nchini Mrisho Mpoto ameibuka na kideo chake kipya kinachokwenda kwa jina la 'Nimwage Radhi" huku akimshirikisha Harmonize wa WCB....

Mzee Yussuf arudi kivingine

Msanii mkongwe wa muziki nchini Mzee Yussuf ameachia kibao chake kipya kinachokwenda kwa jina la "Narudi Kwako Allah". Jitazamie mwenyewe kwa macho kideo hiki!!!!!!!!

New Audio: Tiwa Savage – Labalaba

Msanii wa kike kutoka Nigeria Tiwa Savage ameachia audio yake mpya ya "Labalaba". Isikilize na kuipakua hapa chini!!!!!!!

New Audio: Sauti Sol ft Nyashinski – Short & Sweet

Sikiliza na pakua ngoma mpya ya Sauti Sol wakimshirikisha Nyashinski inayokwenda kwa jina la "Short & Sweet".

Live: Ndoa ya Prince Harry na Meghan Markle

Mamilioni ya watu duniani leo wanatarajiwa kushuhudia ndoa ya kifahari ya mjukuu wa Malkia wa Uingereza, Henry Charles Albert David ‘Prince Harry’ na mwigizaji...

New Hit: Godzilla – Stay

Msanii wa muziki nchini Godzilla ameibuka na kideo chake kipya kiitwacho "Stay" huku muongozaji wa video ni Eddo Chris. Hebu jitazamie mwenyewe kwa macho...

New Hit: Lulu Diva ft Rich Mavoko – Ona

Baada ya siku kadhaa kuachia audio, sasa mwanadada Lulu Diva ameibuka na kideo chake cha "Ona" akimvuta Rich Mavoko. Check it Out!!!!!!!

New Audio: Lulu Diva ft Rich Mavoko – Ona

Msanii wa muziki nchini Luku Diva akimshirikisha Rich Mavoko wa WCB ametoa ngoma mpya iitwayo "Ona". Sikiliza na pakua hapa chini!!!!!!!!

New Audio: Davido – African Girl

Msanii wa muziki kutoka Nigeria Davido ameibuka na ngoma yake mpya inayokwenda kwa jina la "African Girl" huku mtayarishaji ni Young John. Sikiliza na...

New Hit: Duncan Mighty ft Wizkid – Fake Love

Mwanamuziki Duncan Mighty akimvuta Wizkid ameachia kideo chake kipya kiitwacho "Fake Love" huku muongozaji ni Clarence Peters. Check it Out!!!!!!!
- Tangazo -

Habari Mpya

Shirika la Afya Dunia kufanya majaribio ya chanjo ya Ebola

Shirika la Afya Duniani (WHO) na serikali ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo leo wamekuja na mbinu mpya ya kutoa chanjo ya majaribio dhidi...

New Hit: Chege ft Maka Voice – Damu ya Ujana

Mwanamuziki wa kundi la TMK Chege ameibuka na video track yake mpya ijulikanayo kwa jina la "Damu ya Ujana". Enjoy!!!!!!!

New Audio: Christina Shusho – Relax

Msanii wa nyimbo za Injili nchini Christina Shusho ameibuka na ngoma yake mpya iitwayo "Relax". Sikiliza na pakua hapa chini!!!!!!!!!!!