Video: Angalia Shangilia Theatre na Ngoswe wakifanya Sensa

Hii ndio namna ambayo Shangilia Theatre na Ngoswe wamesaidiana kukamilisha zoezi la Sensa katika igizo lao la Jukwaani la kitabu ch Ngoswe: Penzi kitovu...

Mtanzania mdogo atumia ubunifu wa kipekee kutengeneza vigae

Hata maandiko ya Biblia yanasema hakuna jambo lisilowezekana ambapo tumeshuhudia kijana mdogo mwenye umri wa miaka 17 Edgar Edmund Tarimo ameweza kubuni na kutengeneza...

Ingia hapa kutazama matokeo Kidato cha nne 2017

BARAZA la Mitihani la Taifa (NECTA), latangaza matokeo ya kidato cha nne mwaka 2017, ambapo ufaulu umepanda kwa asilimia 7.22 huku watahiniwa 265 wakifutiwa...

Picha: Tujikumbushe Mapinduzi

Mapinduzi ya Zanzibar yalifanyika tarehe 12, mwezi wa 01 mwaka 1964. Tutazame picha mbalimbali na kwa wanafunzi mbalimbali wa historia tunapotazama picha hizi ni...

Makala: Makumbusho ya taifa ya Arusha na maajabu yake.

Habari zenu wapenzi wa makala za nijuze. Wakati huu wa msimu wa sikukuu ukiwa unaelekea kileleni, ni kipindi ambacho watu wengi wanapendelea kusafiri na...

Makala: Tuangalie sababu 8 zinazowafanya watoto wa kike kuchepuka kimahusiano na wazee

Habari za siku wapendwa wa Nijuze poleni na mihangaiko ya kutafuta maisha. Siku ya leo ningependa tufanye utafiti kidogo katika mambo ya mahusiano kati...

Je, wamfahamu aliyeweka rekodi ya kupanda Mlima Kilimanjaro kwa Baiskeli?

Mlima Kilimanjaro ni mlima mrefu kuliko yote barani Afrika. Mlima huu uko nchini Tanzania mkoani Kilimanjaro ukiwa na urefu wa mita 5,895. Kilele cha juu...

Makala: Je, wajua nishani mbalimbali za hapa nchini Tanzania?

Habari za Wikiendi wapenzi wa makala za nijuze. Basi leo tungalie Nisheni za heshima. Watanzania wengi wanafahamu Nishani mbalimbali za kimataifa, lakini Je, wanafahamu kuwa...

Makala: Je, wajua kwa mujibu wa sayansi, Sayari hazizunguki Jua ila, Jua na Sayari...

Habari za Wikiendi wapenzi wa Makala za nijuze, ni matumaini yangu kuwa mu bukheri wa afya. Leo, nimeona kwa pamoja tuangalie Sayansi. Basi inaaminika na...

Makala: Je, wawajua Nyuki waliounganishwa na mtandao?

Wakati kukiwa na baadhi yetu ambao hata hatujui kompyuta ni nini? Wenzetu wamewawekea Nyuki mtandao. Nyuki wa Jiji maarufu sana la London, kwenye moja ya...
- Tangazo -

Habari Mpya

Shirika la Afya Duniani kufanya majaribio ya chanjo ya Ebola

Shirika la Afya Duniani (WHO) na serikali ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo leo wamekuja na mbinu mpya ya kutoa chanjo ya majaribio dhidi...

New Hit: Chege ft Maka Voice – Damu ya Ujana

Mwanamuziki wa kundi la TMK Chege ameibuka na video track yake mpya ijulikanayo kwa jina la "Damu ya Ujana". Enjoy!!!!!!!

New Audio: Christina Shusho – Relax

Msanii wa nyimbo za Injili nchini Christina Shusho ameibuka na ngoma yake mpya iitwayo "Relax". Sikiliza na pakua hapa chini!!!!!!!!!!!