Picha Matukio: Harusi ya Prince Harry na Meghan Markle ilivyofanyika

Ile ndoa ya kifalme kati ya Prince Harry na Meghan Markle imefika tamati siku ya jana Mei 19 baada ya kufunga pingu za maisha...

Live: Ndoa ya Prince Harry na Meghan Markle

Mamilioni ya watu duniani leo wanatarajiwa kushuhudia ndoa ya kifahari ya mjukuu wa Malkia wa Uingereza, Henry Charles Albert David ‘Prince Harry’ na mwigizaji...

Volkano yazua hofu nchini Marekani

Mlipuko mkubwa umetokea katika volkano ya Kilauea, jimbo la Hawaii nchini Marekani na kuzua wasiwasi zaidi kwenye eneo hilo. Mlipuko huo unadai kurusha majivu futi...

Marekani: Fidia kuhusika kwa wanaodhalilishwa kingono

Daktari Larry Nassar Maelfu ya wanawake na wasichana nchini Marekani ambao wamefanya kudhalilishwa kingono na daktari wa michezo, Larry Nassar ambaye ofisi yake ipo Chuo...

Rais Kenyatta asaini muswada wa sheria za mtandaoni

Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta ameidhinisha Mswada wa Sheria za Uhalifu wa Kompyuta na Mtandaoni wa 2018 kuwa Sheria, hatua itakayotoa adhabu kali kwa...

Korea Kaskazini yasitisha mazungumzo na Korea Kusini

Nchi ya Korea ya Kaskazini imesitisha mazungumzo yaliyotarajiwa kufanyika mapema wiki hii dhidi ya Korea ya Kusini kwa sababu ya kuchukizwa kwake na mazoezi...

Mke wa Trump afanyiwa Upasuaji

Mke wa Rais wa Taifa la Marekani, Bibie Melania Trump amefanyiwa upasuaji wa figo. Ofisi yake ilisema kuwa madaktari walifanya upasuaji huo kwenye hospitali...

Wanawake Kenya waandamana

Wanawake walio na hasira wameandamana leo mjini Nairobi kulalamika tuhuma za kufukuzwa kwa mwanamke mmoja kutoka mgahawa wa Olive Restaurant kwa kumyonyesha mtoto wake. Wanawake...

Maandamano yapamba moto Gaza

  Maandamano mapya dhidi ya Israel yanatarajiwa kufanyika huko Palestina leo, siku moja baada ya wanajeshi kuwaua watu 58 huko ukanda wa Gaza. Jumatatu ilikuwa siku...

Shinikizo la damu kumgharimu Meghan siku ya harusi yake

Baba Mzazi wa Meghan Markle, Thomas Markle huenda asihudhurie kwenye harusi ya mtoto wake na mjukuu wa malkia wa Uingereza Prince Harry inayotarajiwa kufanyika...
- Tangazo -

Habari Mpya

New Hit: Chege ft Maka Voice – Damu ya Ujana

Mwanamuziki wa kundi la TMK Chege ameibuka na video track yake mpya ijulikanayo kwa jina la "Damu ya Ujana". Enjoy!!!!!!!

New Audio: Christina Shusho – Relax

Msanii wa nyimbo za Injili nchini Christina Shusho ameibuka na ngoma yake mpya iitwayo "Relax". Sikiliza na pakua hapa chini!!!!!!!!!!!

New Hit: Mrisho Mpoto ft Harmonize – Nimwage Radhi

Msanii wa nyimbo za asili nchini Mrisho Mpoto ameibuka na kideo chake kipya kinachokwenda kwa jina la 'Nimwage Radhi" huku akimshirikisha Harmonize wa WCB....