Sugu awaomba viongozi kujitathmini mwezi mtukufu

Mbunge wa Mbeya mjini Mh Joseph Mbilinyi amewaasa wabunge wenzake kujitathmini wakati huu wa mfungo wa Ramdhan. Akizungumza leo Mei 21, kwa mara ya kwanza...

Rais Magufuli akutana na Askofu Mndolwa

Askofu Mkuu wa Kanisa la Anglikana Tanzania, Mahimbo Mndolwa jana alikutana na kufanya mazungumzo ya faragha na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,...

Makamba azindua Tathmini athari za Mazingira

Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira, January Makamba amezindua Muongozo wa Tathmini ya Mazingira (SEA) ikiwa ni sehemu ya...

Picha: Lowassa, Gambo walivyomzika Luteni Molloimet

Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Mrisho Gambo, amekutana uso kwa uso na aliyewahi kuwa Waziri Mkuu na mgombea urais wa Jamhuri ya Muungano wa...

Ndugai aguswa na wabunge wake msimu wa Ramadhani

Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Job Ndugai amefurahishwa na namna wabunge walivyotupilia mavazi yao ya kanzu na hijab kwa wanaume...

Mhagama: Hatuhusiki na utozaji wowote wa fedha

Waziri wa Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Walemavu, Jenista Mhagama imedai serikali haihusiki kwa namna moja ama nyingine na Taasisi inayowatoza wanawake shillingi...

Kesi ya Mbowe na wenzake kuunguruma leo Kisutu

Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu leo imeanza kusikiliza kesi dhidi ya Mbowe na viongozi wenzake wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo ambapo wanakabiliwa na...

Nasha: Serikali kushirikiana na sekta binafsi kuboresha elimu

Serikali kupitia Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia imezipongeza shule za sekta binafsi kwa ulipaji mzuri wa kodi na kutambua umuhimu wake katika kuleta...

Hivi Punde: Lulu atoka Gerezani

Muigizaji maarufu wa Tasnia ya Filamu Tanzania, Bibie Elizabeth Michael almaarufu kama Lulu aliyehukumiwa kifungo cha miaka miwili jela Novemba 13 mwaka jana baada...
- Tangazo -

Habari Mpya

Shirika la Afya Duniani kufanya majaribio ya chanjo ya Ebola

Shirika la Afya Duniani (WHO) na serikali ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo leo wamekuja na mbinu mpya ya kutoa chanjo ya majaribio dhidi...

New Hit: Chege ft Maka Voice – Damu ya Ujana

Mwanamuziki wa kundi la TMK Chege ameibuka na video track yake mpya ijulikanayo kwa jina la "Damu ya Ujana". Enjoy!!!!!!!

New Audio: Christina Shusho – Relax

Msanii wa nyimbo za Injili nchini Christina Shusho ameibuka na ngoma yake mpya iitwayo "Relax". Sikiliza na pakua hapa chini!!!!!!!!!!!