Bayern yachezea kichapo fainali ya DFB Pokal

Wakati Man Utd wakiambulia kipigo dhidi ya Chelsea, nao miamba ya Ujerumani Bayern Munich wamejikuta wakichezea kichapo cha 3-1 dhidi ya Eintracht Frankfurt katika...

Simba wakabidhiwa ubingwa licha ya kupoteza

Klabu ya Simba wajulikanao kwa jina lingine wekundu wa msimbazi wamekabidhiwa rasmi kombe lao la Ligi Kuu Tanzania Bara na Rais wa Jamhuri ya...

Chelsea yailiza United fainali ya Kombe la FA

Goli pekee la mchezo kupitia kwa Hazard Klabu ya Chelsea iliyochini ya Antonio Conte imefuta machungu yake ya Ligi Kuu Uingereza kwa kuondoka na kombe...

Picha matukio: Mashabiki wa Simba wamiminika leo Uwanja wa Taifa

Leo tunashuhudia mabingwa wapya wa Ligi Kuu Tanzania Bara Simba wakikabidhiwa kombe lao huku mgeni rasmi aliyeandaliwa ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa...

Kombe la Dunia 2018: Hiki ni kikosi cha maangamizi cha Ufaransa nchini Urusi

Kocha wa timu ya taifa ya Ufaransa Didier Deschamps amekiweka hadharani kikosi chake cha maangamizi kitakachochuana katika michuano ya Kombe la Dunia 2018 nchini...

Azam FC yaingilia anga za Yanga

Ombi la uongozi wa klabu ya Young Africans la kutaka kumtumia mshambuliaji Adam Salamba katika michuano ya kombe la shirikisho hatua ya makundi, huenda...

Haroub: Huwezi kumdharau mpinzani, tunafahamu ni timu nzuri

Beki na nahodha wa klabu ya Yanga SC Nadir Haroub "Cannavaro" ameeleza kuwa wako tayari kuikabili Rayon Sports katika michuano ya Kombe la Shirikisho...

TFF yamuomba Magufuli kufanya jambo hili

Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) kupitia Rais wake Wallace Karia umetuma maombi kwa Waziri mwenye dhamana ya michezo, Dkt. Harrison Mwakyembe amuombe Rais wa...

Simba yajipa raha kabla ya kuwakabili Kagera Sugar

Wachezaji wa klabu ya Simba wamejipa raha kwa kupewa mapumziko mafupi kabla ya kuanza mazoezi kesho kwa kuvaana na Kagera Sugara. Mabingwa hao wapya wataingia...

Kane ampa dongo hili Salah

Salah Mshambuliaji wa klabu ya Tottenham Hotspur Harry Kane amemkingia kifua mshambuliaji wa Liverpool, Mohammed Salah kuwa kama kweli anataka kujulikana kuwa ni mfungaji bora...
- Tangazo -

Habari Mpya

Shirika la Afya Duniani kufanya majaribio ya chanjo ya Ebola

Shirika la Afya Duniani (WHO) na serikali ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo leo wamekuja na mbinu mpya ya kutoa chanjo ya majaribio dhidi...

New Hit: Chege ft Maka Voice – Damu ya Ujana

Mwanamuziki wa kundi la TMK Chege ameibuka na video track yake mpya ijulikanayo kwa jina la "Damu ya Ujana". Enjoy!!!!!!!

New Audio: Christina Shusho – Relax

Msanii wa nyimbo za Injili nchini Christina Shusho ameibuka na ngoma yake mpya iitwayo "Relax". Sikiliza na pakua hapa chini!!!!!!!!!!!