Sayansi na Teknolojia

Sayansi na Teknolojia

Sayansi na Teknolojia / Science na Technology

Magari yanayojiendesha yenyewe

Kwa miaka mingi, fani ya udereva imekuwa ikiheshimiwa na wengi. Katika pilikapilika za kila siku, umuhimu wa kazi ya udereva unajidhihirisha waziwazi, ukipanda daladala...

Bifu kati ya Kampuni ya Google na Amazon laendelea.

Katika Soko la teknolojia duniani,  Kampuni mbili kubwa za kimataifa, yaani Google na Amazon zimeendeleza ugomvi uliopo baina yao. Ugomvi baina ya mafahali wawili...

Akaunti ya mwanzilishi wa McAfee VirusScan yadukuliwa.

Bw. John McAfee, amesema kuwa akaunti yake ya mtandao wa Twitter ilidukuliwa na kutumika kukuza sarafu zisizo na umaarufu mkubwa za crypto. Mtaalam huyo aliyeanzisha...

NASA yagundua mfumo wa sayari unaofanana na Afrika nzima

Shirika la anga za juu la Marekani NASA (National Aeronautics and Space Administration) limefanya utafiti wa aina yake wa kugunda nyota inayozungukwa na sayari...

Basi la kujiendesha lapata ajali siku ya majaribio Las Vegas

Basi linalojiendesha huko Las Vegas lilihusika kwenye ajali wakati wa siku yake ya kwanza ya huduma. Gari hilo lililokuwa limewabeba abiria kadha liligongwa na lori...

Roketi kutumika kama ndege ya abiria.

Teknolojia inazidi kukua. Kuna mjasiriamali hivi karibuni ataweza kusafirisha watu kutoka mji mmoja hadi mwingine kwa kutumia roketi, safari ambayo itachukua dakika chache tu....

Makala: Je, wajua kwa mujibu wa sayansi, Sayari hazizunguki Jua ila, Jua na Sayari...

Habari za Wikiendi wapenzi wa Makala za nijuze, ni matumaini yangu kuwa mu bukheri wa afya. Leo, nimeona kwa pamoja tuangalie Sayansi. Basi inaaminika na...

Kampuni ya LG Electronics Inc yaja na simu mpya yenye uwezo wa kufukuza mbu.

Kampuni ya Kimataifa ya simu ya Korea Kusini ya LG (Lucky Goldstar) Electronics Inc yaja na simu mpya smartphone iitwayo LG K7i. Kampuni hii ilidai...

Makala: Je, wawajua Nyuki waliounganishwa na mtandao?

Wakati kukiwa na baadhi yetu ambao hata hatujui kompyuta ni nini? Wenzetu wamewawekea Nyuki mtandao. Nyuki wa Jiji maarufu sana la London, kwenye moja ya...

Tanzania yashauriwa kuwekeza Kwenye Ubunifu wa Sayansi na Kiteknolojia.

Dar-es-Salaam - Nchi mbalimbali za Afrika hasa Tanzania zimeshauriwa kuongeza Uwekezaji kwenye masuala ya Ubunifu wa Kisayansi na Teknolojia ili waweze kuongeza pato la...
- Tangazo -

Habari Mpya

New Hit: Chege ft Maka Voice – Damu ya Ujana

Mwanamuziki wa kundi la TMK Chege ameibuka na video track yake mpya ijulikanayo kwa jina la "Damu ya Ujana". Enjoy!!!!!!!

New Audio: Christina Shusho – Relax

Msanii wa nyimbo za Injili nchini Christina Shusho ameibuka na ngoma yake mpya iitwayo "Relax". Sikiliza na pakua hapa chini!!!!!!!!!!!

New Hit: Mrisho Mpoto ft Harmonize – Nimwage Radhi

Msanii wa nyimbo za asili nchini Mrisho Mpoto ameibuka na kideo chake kipya kinachokwenda kwa jina la 'Nimwage Radhi" huku akimshirikisha Harmonize wa WCB....