Mfumuko wa bei ya vyakula nchini washuka

Mfumuko wa bei kwa vyakula nchini unaripotiwa kushuka kwa asilimia 0.2 ambapo awali ilikuwa kati ya asilimia 4.1 hadi asilimia 3.9. Taarifa hiyo imetolewa na...

TRA yakusanya Trilioni 11.78

Katika Kipindi cha miezi tisa ya Mwaka wa Fedha 2017/18 kuanzia Julai 2017 hadi Machi 2018, Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imekusanya jumla ya...

Trillioni 40 kuwekezwa kwa viwanda 200 Tanzania

Benki ya Standard Chartered ina mpango wa kuwekeza dola za Kimarekani billioni 20 (sawa na trillioni 40 za Kitanzania) katika kampeni ya China ya...

Tanzania yajizatiti kwa nchi zinazovutia uwekezaji

Shirika la Utafiti la Quantum Global limetoa ripoti kwa nchi zinazovutia kwa uwekezaji barani Afrika ambapo Tanzania imekamata nafasi ya 13. Nafasi ya kwanza inashikiliwa...

TANESCO yaleta mfumo mpya wa kuuza umeme

Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) limesema wateja wote wanaotumia mita za malipo ya kabla (LUKU) kuwa kuanzia April 2 shirika hilo litahamia rasmi katika...

TIRA yafutilia mbali leseni za kampuni nne

Mamlaka ya Usimamizi wa Shughuli za Bima nchini (TIRA) imefutilia mbali leseni za kampuni nne za udalali na ushauri wa Bima kutokana na kukiuka...

TBL wasogeza huduma kwenye vituo vya Daladala

Kampuni ya Tanzania Breweries Limited (TBL) kupitia kinywaji chake cha Safari Lager imetangaza rasmi kuwa kuanzia leo Jumatano Machi 21, 2018 itakuwa na promosheni...

Benki Kuu washusha neema kwa Benki za Biashara

Benki kuu Tanzania imepunguza kiwango cha riba kwa mabenki ya biashara kufikia asilimia 11. Hatua hiyo inadaiwa itawezesha mabenki ya biashara kupunguza gharama za kukopa...

China waongoza kwa hisa kampuni ya Mercedes-Benz

Kampuni ya kuunda magari ya China Geely, imekuwa mwekezaji mkubwa kwenye kampuni mmiliki wa magari ya Mercedes-Benz, Daimler, ikisema ina matumaini ya kushirikiana na...

Picha: Benki ya Equity yaja na huduma kabambe kwa wateja

Benki ya Equity Tanzania imezindua programu tumishi (app) ya "EazzyBanking" itakayowafanya wateja wa benki hiyo kupata huduma stahiki za kibenki popote walipo hata kama...
- Tangazo -

Habari Mpya

Shirika la Afya Duniani kufanya majaribio ya chanjo ya Ebola

Shirika la Afya Duniani (WHO) na serikali ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo leo wamekuja na mbinu mpya ya kutoa chanjo ya majaribio dhidi...

New Hit: Chege ft Maka Voice – Damu ya Ujana

Mwanamuziki wa kundi la TMK Chege ameibuka na video track yake mpya ijulikanayo kwa jina la "Damu ya Ujana". Enjoy!!!!!!!

New Audio: Christina Shusho – Relax

Msanii wa nyimbo za Injili nchini Christina Shusho ameibuka na ngoma yake mpya iitwayo "Relax". Sikiliza na pakua hapa chini!!!!!!!!!!!