Kajala adai anataka mume

Muigizaji wa tasnia ya filamu nchini Kajala Masanja ameeleza kuwa endapo akipata mwanaume mwenye sifa anazozitaka basi mwaka huu unaweza usiishe bila kuolewa kwa...

Dogo Janja amuenzi mkewe kwa hili

Tangu walipofunga ndoa yao Dogo Janja na Irene Uwoya imekuwa vigumu kuwakosa kwenye vichwa vya habari kwenye vyombo vya habari nchini na kwa sasa...

Harmonize abwatuka haya kwa Wolper

Hitmaker wa "DM Chick" Harmonize ametema cheche kuhusu mpenzi wake wa zamani Jacquiline Wolper baada ya kupost ujumbe Insta list ya wanaume ambao alishawahi...

Joti akanusha tetesi za kuvunjwa kwa nyumba yake

Hapo jana May 03, 2018 Mchekeshaji Lucas Mhavile ‘Joti’ aligonga vichwa vya habari mara baada ya kuwepo taarifa zilizodai kuwa nyumba yake iliyopo Kibada,...

Harmonize afunguka sakata lake na Alikiba

Msanii wa muziki Bongo, Harmonize amefunguka sababu ya kutompa mkono Alikiba pindi walipokutana katika msiba wa Agness Masogange. Muimbaji huyo anayefanya vizuri na ngoma ‘Kwa...

Picha: Harusi Kiba brothers zilivyoliteka jiji la Dar

Sherehe ya harusi ya kipekee imefanyika usiku wa jana ndani ya Ukumbi wa Serena Hotel jijini Dar es Salaam ambapo ilikuwa ya Alikiba na...

Uwoya amuenzi Masogange kwa Tatoo

Baada ya kuchora tatoo kumuenzi rafiki yake kipenzi, staa wa filamu nchini Irene Uwoya amefunguka kuwa tatoo aliyoichora kama kumbukumbu kwa rafiki yake kipenzi...

Aslay awatolea uvivu wanaoteta ndoa ya Alikiba

Wakati ndoa ya staa wa Muziki wa Bongo Fleva, Alikiba ‘King Kiba’ ikiwa bado haijapoa, msanii mwenzake anayebamba na ngoma kibao ikiwemo Nibebe, Aslay...

Madonna agonga mwamba madai yake kwa Tupac

Malkia wa muziki wa Pop kutoka nchini Marekani na mshindi wa tuzo za Grammy, Madonna ameshindwa kesi ya haki ya kulinda kutotolewa kwenye jamii...

Rammy Galis awachefua waombolezaji msiba wa Masogange

Hapo jana April 22, 2018 mwili wa marehemu Agness Gerald ‘Masogange’ aliagwa katika viwanja vya Leaders Dar es Salaam kabla ya kusafirishwa kuelekea mkoani...
- Tangazo -

Habari Mpya

New Hit: Chege ft Maka Voice – Damu ya Ujana

Mwanamuziki wa kundi la TMK Chege ameibuka na video track yake mpya ijulikanayo kwa jina la "Damu ya Ujana". Enjoy!!!!!!!

New Audio: Christina Shusho – Relax

Msanii wa nyimbo za Injili nchini Christina Shusho ameibuka na ngoma yake mpya iitwayo "Relax". Sikiliza na pakua hapa chini!!!!!!!!!!!

New Hit: Mrisho Mpoto ft Harmonize – Nimwage Radhi

Msanii wa nyimbo za asili nchini Mrisho Mpoto ameibuka na kideo chake kipya kinachokwenda kwa jina la 'Nimwage Radhi" huku akimshirikisha Harmonize wa WCB....