Simba yajipa raha kabla ya kuwakabili Kagera Sugar

179

Simba2

Wachezaji wa klabu ya Simba wamejipa raha kwa kupewa mapumziko mafupi kabla ya kuanza mazoezi kesho kwa kuvaana na Kagera Sugara.

Mabingwa hao wapya wataingia dimbani siku ya Jumapili katika Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam kumenyana na Kagera Sugar.

Simba3

Simba inatimba siku hiyo wakiwa na rekodi ya kutokufungwa katika michezo 28 ya mashindano yote.