Kajala adai anataka mume

84

Kajala

Muigizaji wa tasnia ya filamu nchini Kajala Masanja ameeleza kuwa endapo akipata mwanaume mwenye sifa anazozitaka basi mwaka huu unaweza usiishe bila kuolewa kwa kuwa maisha ya upweke yamemchosha.

Akizungumzia suala hilo hivi karibuni, Kajala akaongeza kuwa tukio la kupigana busu na aliyekuwa mume wake wa awali P-Funk limeongeza tetesi kuwa yawezekana wawili hao wamerudiana.

Msikilize mwenyewe hapa alichokitamka:

Chanzo: Bongo 5