TSNP kumburuza IGP Mahakamani

87

nondo

Mwanasheria wa Mtandao wa Wanafunzi (TSNP), Paul Kisabo ameshawasili Mahakama Kuu kwaajili kusikiliza shauri la maombi ya kutaka DPP, DCI, IGP wajibu mashtaka kwanini hawajamleta Abdul Nondo Mahakamani na wamemshikiria kinyume na sheria.

Kisabo amesema kuwa viongozi hao wa Jeshi la Polisi nchini wamemshikilia Ndg. Abdul Nondo kinyume na sheria na wamekataa kumpeleka Mahakamani.

Msikilize hapa…….